SAB Miller Commercial Display Fridge 300L for Sale

TZS 450,000
Home Appliances
1 month
Tanzania
Dar es Salaam
Kinondoni
Mbezi High School/Kiramuu Hall
26 views
SKU: 16024
Published 1 month ago by Diana Muro
TZS 450,000
In Home Appliances category
Mbezi High School/Kiramuu Hall, Kinondoni, Dar es Salaam, Tanzania
Get directions →
26 item views
Friji ya Biashara SAB MILLER (Lita 300) – Baridi Zuri, Kioo Safi, Magurudumu Imara – Dar es Salaam

Nauza friji yangu ya biashara (Commercial Display Fridge) ya SAB MILLER, yenye uwezo wa Lita 300.

Hii ni friji imara ambayo bado inapiga kazi vizuri sana.

Nimeamua kuiuza ili kupata nafasi zaidi ofisini kwangu kwa ajili ya maboresho.

SIFA NA HALI YA FRIJI:

1. Ubaridi Mzuri Sana: Friji hii ina ubaridi mzuri wa vinywaji na vyakula. Kama picha zinavyoonyesha, nimeunganisha kabisa kwenye umeme na namba nyekundu juu zinaonyesha kipimo cha ubaridi kikisoma vizuri. Baridi hii inabadilika kulingana na uhitaji wa vitu vinavyojazwa ndani. Feni ya chini inazunguka na inapiga baridi la uhakika kuhakikisha hamna ukungu kwenye kioo na compressor haiungui inapofanya kazi yake.

2. Muonekano: Kioo cha mlango ni kizima kabisa na kinaonyesha bidhaa vizuri. Shelfu zote zilizopo pamoja na vishikizo vyake ni vizima. Vinahamishika ndani kulingana na ukubwa wa unachohitaji kuweka.

3. Ukweli Kuhusu Hali: Kama unavyoona kwenye picha, kuna baadhi ya sehemu zina kutu (kama ilivyo kawaida kwa friji zilizotumika kwa muda mrefu), lakini compressor na mfumo wa baridi ni imara na havina shida yoyote. Kazi inafanya kwa uwezo 100%. Utajionea mwenyewe unapokuja kununua.

4. Uhuru wa Kusogeza: Ina magurudumu yake manne (4) yote mazima, yanakusaidia kuisogeza kiurahisi - hata hapo niliisogeza kwa msaada wake ili nipige picha.

5. Matumizi: Imekuwa ikitumika kila siku kwa ajili ya biashara ya vinywaji, keki na kutunza vyakula mbalimbali.

INAFAA KWA NANI?

Hili friji ni zuri kwa mwenye duka la vinywaji, genge, au hata duka dogo la chakula, haswa kwa mtu anayetafuta uwezo wa kupiga kazi kwa bei nafuu sana.

BEI: TZS 450,000

Friji lipo Mbezi Beach Kibao cha Shule, Dar es Salaam, Tanzania.

Karibu ofisini kwangu uikague na ujiridhishe inavyopiga kazi mwenyewe!

Wasiliana nami kwa simu: 0788609255 Read more

Description

Wasiliana nami kwa simu: 0788609255

Safety Tips

  • Never make a payment or provide personal information until you have verified the seller and the electronic device in person.
  • Be cautious of sellers asking for advance payments before you meet and inspect the device.
  • Always test the electronic device to ensure it is fully functional before making a purchase learn about device faults on this page.
  • Make sure to meet in a safe, public place when dealing with sellers.
Print
Report
Are you a professional seller? Create an account