Mashine ya kuchanganya chakula cha kuku ipo katika hali nzuri sana, Bei ni Tsh 6,000,000/- tu. Ina uwezo wa kuzalisha chakula cha kuku nusu tani kwa saa. Na utapata kila kitu na motor pia. Karibu sana mteja.
Read more
Description

Speaker Ndonga (Bass Speaker) Used / Mtumba Original 💰 Bei: 350,000/= kwa piece 📍 Mahali: Dar es Salaam, Tanzania Maelezo: Speaker ndonga ya bass, original (mtumba)AG Watts: 2000W Ohms: 8Ω Coil size: 125mm Hali nzuri, hazijachoka Bass nzito na safi, inafaa kazi za nguvu 📦 Idadi: Zipo piece 4 ✅ Inafaa kwa disco sound, events, kanisa, na biashara ya sound 📞 Wa...
TOYOTA VITZ NEW MODEL INAUZWA Inauzwa gari zuri, aina ya *Toyota Vitz New Model*,matumizi madogo ya mafuta na linafaa kwa mji. 🚘 Aina: Toyota Vitz – New Model *Bei*: TSh *6,500,000* 📞 *Wasiliana:* 0786 522 839