NYUMBA INAUZWA IPO IRINGA MJINI IPO KARIBU NA OFFICE ZA MANISPAA IRINGA KATA YA GANGILONGA NAKUKUHAKIKISHIA NI YA KISASA IMEJENGWA NA WA ISRAEL NA RAMANI KUTOKA ISRAEL
Nyumba inauzwa 300M. (Sqm600) . Mbagala kizuiyani barabarani pembeni ya Mahakama ya kuu mbagala na soko la kizuiyani. Nyumba ina Hati miliki, ina fremu 5 za biashara na Vyumba 5 vya kulala, Eneo ni kubwa, unaweza kujenga gorofa, ukumbi, apartment au fremu za kisasa mana eneo ni la biashara. Nyumba Haina Kipengele Chochote. Mawasiliano O654542366 Mmiliki, kar...