Karibun sana kabati la nguo milango miwili(2) la kisasa tunafanya free delivery Kwa wilaya ya ubungo pia offa kabambe atapew mteja wa bidhaa Zaid ya 1
Read more
Description
Karibun sana kabati la nguo milango miwili(2) la kisasa tunafanya free delivery Kwa wilaya ya ubungo pia offa kabambe atapew mteja wa bidhaa Zaid ya 1
Jamni ndugu wateja wetu Ile SET yetu ya sufuria4, Flampeni 3, bakuli2, vijiko na mwiko Basi imewadia jamni karibun Sana Wapendwa wateja wetu na hizi SET Zimebaki Chache mnoo wahi Sasa DM Chap 📩 Tuma Order yako Tukufanyie FREE DELIVERY popote ulipo nchini. karibun Sanaa YARA HOMEWARES TUAMINI NA SISI TUKUAMINISHE 🙏🏻🙏🏻
Nikochi Zurich sana linanyama unaweza hata kulala unatoa tu mito, wanakaa watu wanne kama wanamwili,linetumika miezi sita limetumika kiustaarabu wahari yajuu,bado jipya
Nauza mashine ya barafu 120 kwa masaa 4 Tu Mashine inatumia umeme wa 5000 kwa barafu 120 hadi 150 Unauwezo wa kuuza barafu 250 hadi 300 Mashine hii pia ina makopo yake ya kugandisha barafu za Tofali.makopo 40 total Mashine wa biashara nzuri na inakupa faida kwa haraka. Wahi tuwahi mashine naiuza bei ya kutupa.
Nyumba nzuri inauzwa Iko Mtaa wa Amani. mpiji Magie kituo Cha Daladala kinaitwa Machimbo Ina vyumba 3 Kwa ndani 1 Master viwili kawaida. jiko, Dinning na Sitting room na Public Toilet Nje Ina vitu vifuatavyo Vyumba vya kulala 2 Chumba 1 cha ofisi Frame 1 ya biashara Parking ya kutosha magari zaidi ya 5 Mabanda ya kufugia kuku zaidi ya 1000