njoo ujipatie vitanda vya mbao ngumu. Bei ni 120k usafiri elf 10. tupo jirani na uwanja wa taifa au mkapa
piga 0685463889
0752508399
Anza maisha ukiwa na tabasamu
Read more
Description
njoo ujipatie vitanda vya mbao ngumu. Bei ni 120k usafiri elf 10. tupo jirani na uwanja wa taifa au mkapa
piga 0685463889
0752508399
Anza maisha ukiwa na tabasamu
Wahi chapu mzigo umeshuka bei maboss mtungi wa gas na regulator yake ni high pressure vyote bado vipya kabisa gas nimetumia siku 1 tu bado ina gas nipe 85,000 napatikana Magomeni Mawasiliano 0683106466 au 0750550828
Wapendwa wateja wetu leo Tumewaletea SET ya FLAMPENI TU ambazo zipo pic,4 TU!! Kwa TSH,150,000 TU....!! Karibun Sana wapendwa wetu wateja zipo Chache Mnoo jmn Nawaomba Tusiizache jamn,🙏🏻🙏🏻 Tuma Order yako Tukufanyie FREE DELIVERY popote ulipo nchini buree Tupe Location tunakuja Hadi mlangoni kwako YARA HOMEWARES TUAMINI NA SISI TUKUAMINISHE, 🙏🏻🙏🏻
Nauza friza yangu ya Exquisite (Lita 200) ambayo nimeitumia kwa muda mrefu na bado ni nzima kabisa. Nimeamua kuiuza ili kupata nafasi zaidi ofisini kwangu kwa ajili ya maboresho. Sifa na Hali ya Friza: 1. Uwezo: Inagandisha vizuri sana na kwa haraka, inafaa sana kwa biashara ya vinywaji au vitu vya kugandisha. 2. Compressor Imara: Kama unavyoona kwenye picha...