Kiwanja kipo bunju B karibu na uwanja wa Simba Mo arena huduma zote za kijamii maji umeme vipo ukubwa 60/35 Kwa mawasiliano piga 0713203832 au 0745791011
Inatoa tofali nne hadi sita kwa wakati mmoja Inafyatua pavings. Inafyatua hollow blocks. Inafyatua carb stone. Inafyatua tofali za 5inch na 6inch. Inafyatua tofali 2000 kwa siku. Ni mashine imara na nzuri. Zimetoka China moja kwa moja, bei yake ni nafuu sana.
Shamba linauzwa eneo linaitwa Beta, Wilaya ya Mkuranga, kando ya barabara ya Dar kwenda Lindi (kilometa 1 toka barabara ya lami) Shamba Lina ukubwa wa eka 41, sawa na square mita 166,050. Bei ni shilingi 4,500 per square mita. Shamba lipo km 60 kutoka Dar city center au km 40 toka Mbagala. Shamba lina miembe , minazi, michungwa, limau, michenza na miti ya mb...