: 🔦 TOCHI YA KUVAA KICHWANI – HEADLAMP YA KISASA 🔦 Hii siyo tochi ya kawaida! Inachajiwa kwa USB 💻, inaweza kutumia betri pia 🔋, haipitishi maji 🌧, ina sensor ya kugusa ✋, na mwanga mkali wenye mipangilio tofauti 💡. Bora kwa usiku, safari, camping, shamba, uvuvi na dharura za nyumbani. 👉 Bei ya Promo: Tsh 25,000/= 📦 Delivery mikoani kote, lipa ukipokea.
Shamba linauzwa eneo linaitwa Beta, Wilaya ya Mkuranga, kando ya barabara ya Dar kwenda Lindi (kilometa 1 toka barabara ya lami) Shamba Lina ukubwa wa eka 41, sawa na square mita 166,050. Bei ni shilingi 4,500 per square mita. Shamba lipo km 60 kutoka Dar city center au km 40 toka Mbagala. Shamba lina miembe , minazi, michungwa, limau, michenza na miti ya mb...