» Tunawaletea mnada wa nyumba ya kulala wageni ya vyumba 10. Nyumba iko North Buswelu kitalu No. 430 Block A, Jijini Mwanza karibu na Soko la Kabwalo.
» Hali ya nyumba ni ya kumalizia.
» Vyumba vyote vinajitosheleza.
» Ukubwa wa kiwanja ni sqm 648.
» Nyaraka iliyopo ni hati ya wizara.
» Makadirio TSh milioni 70.
» Leta ofa yako.
.
#InRealEstateWeConnect
Read more