KIWANJA KINAUZWA JIRANI NA OFISI ZA HALMASHAURI YA ILEMELA -ukubwa wa kiwanja ni sqm 1,201 -kina hati miliki ya wizara -matumizi ya kiwanja ni makazi na biashara -bei Milioni 90 -mazungumzo yapo -kiwanja kipo karibu kabisa na barabara ya lami ☎️ Wasiliana Nasi 0743 220097
KIWANJA KINAUZWA BUSWELU WILAYANI ( ROUND ABOUT YA CITY LINK ) -ukubwa wa kiwanja ni sqm 2,054 -vipo viwanja viwili vimeungana -kina hati miliki ya wizara -matumizi ya kiwanja ni makazi na biashara -kiwanja cha 3 kutoka barabara ya lami -kiwanja kipo mtaa mzuri ulojengeka sana ☎️ Wasiliana Nasi 0743 220097
Kiwanja kipo kibanda kigamboni urefu meter 45 na upana meter 35 Kipo karibu na barabara ya lami Huduma zote zipo tayari Bei ni maelewano inapungua kipo sehemu nzuri maji hayajai
NYUMBA INAUZWA NHC SAF IPO MAGOMEN MWEMBE CHAI UKITOKEA NJIA PANDA YA KAGERA KAMA UNAKUJA MJINI BAADA YA SHELI YA OIL COM TU MTAA WA KWANZA NYUMA YA SHEL NYUMBA YA 5 TOKA MOROGORO ROAD INA MASHAVU MAKUBWA PANDE ZOTE 2 NA NI NDEFU MMILIKI NI MMOJA NA ANA TITLE DID ILE YA ZAMAN BEI AMEANZIA ML 260 MAONGEZI AKIKUTANA NA MTEJA. INASOMA JINA LAKE. PAZURI SANA KWA...
KIWANJA KINAUZWA BUSWELU WILAYANI -ukubwa wa kiwanja ni sqm 790 -kiwanja kimeshapimwa tayari -matumizi ni makazi na biashara -kipo karibu na barabara ya lami -bei Tsh Milioni 35 ☎️ 0743 220097
» Mindu Mashariki. » Iko kwenye barabara wa lami. » Haiitaji matengenezo. N kuhamia na kuanza kazi. » Ukubwa makadirio sqm 5. Inafaa kwa huduma za uwakala, saluni, n.k. » Kodi TSh laki 5.5. » Ada ya wakala itatozwa . #InRealEstateWeConnect
KIWANJA KINAUZWA NYASHISHI -ukubwa wa kiwanja ni 20x20 -umeme, maji na barabara vipo -eneo limeshapimwa tayari -bei Tsh Milioni 2 ☎️ Wasiliana Nasi 0743 220097
KIWANJA KINAUZWA NERA -kiwanja cha kwanza lami ( airport road ) -mahali; karibu na ofisi za bank kuu (BOT) -ukubwa wa kiwanja ni sqm 810 -kina hati miliki ya wizara ( 99 years ) -matumizi; makazi na biashara ☎️ 0743 220097
KIWANJA KINAUZWA NA MWENYEWE MBEZI LUGURUNI KWEMBE MADUKA SITA KARIBUBNA KANISA LA TAG SILOAMU. KIKO UMBALI WA KILOMITA 3 TOKA MAIN ROAD (MOROGORO ROAD) AREA : SQMT 930 PRICE : MIL 33 MAONGEZI YAPO UMILIKI: MKATABA WA MAUZIANO, KIMESHAPIMWA HATI ITATOKA KWA JINA LA MMILIKI MPYA HUDUMA ZOTE ZIPO... GHARAMA YA KUPELEKWA SITE NI SH ELF 30. HII HAIHUSISHI USAFIR...
LandMbezi Luguluni Kwembe Maduka 6 Karibu Na Kanisa La Tag Siloamu