PIKIPIKI ZA UMEME ZA KISASA ZINAUZWA
Bado unachoma pesa kwenye mafuta kila siku?
Foleni za petrol, service zisizoisha, moshi na kelele… kwa nini ujiteseke?
OASIS haina mafuta, haina moshi, haina stress.
✔ Inatembea 100–130KM kwa chaji moja
✔ Kasi hadi 85km/h
✔ Chaji masaa 2 tu
✔ Gharama ndogo sana ya matumizi
💰 Bei: Tsh 4,500,000/=
Au Chukua kwa Tsh 500,000/= tu kianzio, ulipe kidogo kidogo.
Badilika. Okoa pesa.⚡