» Kiwanja kipo Kimara Korogwe kwa Mkuwa. Unaweza kuingilia Korogwe au Ubungo External.
» Kipo kwenye barabara ya mtaa itakayowekwa lami pia ni karibu na barabara kuu ya zege.
» Kiko flat.
» Kinafaa kwa makazi binafsi au apartment za biashara.
» Ukubwa sqm 1,750.
» Nyaraka ni hati ya wizara.
» Bei TSh milioni 80
.
#InRealEstateWeConnect