Ninauza kiwanja changu Kibaha Visiga-Madafu
Ukubwa Square meter 400
Umbali kutoka barabara kuu km 3.5
Usafiri pikipiki 1500 panafikika kwa aina zote za usafiri
Umeme wa TANESCO na Maji ya DAWASA pamoja na huduma nyingine za kijamii zinapatikana.
Kiwanja kipo sehemu Tambarale na nzuri
Bei ni milioni 8.5 |Maelewano yapo kidogo
Piga 0745666061 |Mimi ndio Mmiliki
ZINGATIA: Kiwanja kina HATI MILIKI YA WIZARA
Agent fee 10%.
Read more