KIWANJA CHA KWANZA KUTOKA LAMI KINAUZWA MABATINI -ukubwa wa eneo ni sqm 2,273 -eneo lina hati miliki ya wizara -matumizi ni makazi & biashara -bei Tsh Milioni 500 ☎️ 0743 220097
Ninauza kiwanja changu Kibaha Visiga-Madafu Ukubwa Square meter 400 Umbali kutoka barabara kuu km 3.5 Usafiri pikipiki 1500 panafikika kwa aina zote za usafiri Umeme wa TANESCO na Maji ya DAWASA pamoja na huduma nyingine za kijamii zinapatikana. Kiwanja kipo sehemu Tambarale na nzuri Bei ni milioni 8.5 |Maelewano yapo kidogo Piga 0745666061 |Mimi ndio Mmilik...
Vinauzwa viwanja vilivyopimwa kuanzia sqm 400 hadi sqm 600 bei ni 6.5 milioni mpaka 9m ,viwanja vipo kelege Matumbi km 2 toka bagamoyo road piga 0754292666 kwa maelezo zaidi
KIWANJA KINAUZWA JIRANI NA OFISI ZA HALMASHAURI YA ILEMELA -ukubwa wa kiwanja ni sqm 1,201 -kina hati miliki ya wizara -matumizi ya kiwanja ni makazi na biashara -bei Milioni 90 -mazungumzo yapo -kiwanja kipo karibu kabisa na barabara ya lami ☎️ Wasiliana Nasi 0743 220097
Kiwanja kipo kibanda kigamboni urefu meter 45 na upana meter 35 Kipo karibu na barabara ya lami Huduma zote zipo tayari Bei ni maelewano inapungua kipo sehemu nzuri maji hayajai
ml 8 sgm 650 kiwanja kipo mapinga tungutungu klomita 2 kutoka bagamoyo rd pkpk elfu 1000 umefka hiki kiwanja kinatupwa mwenyewe anashida sana kimfaacho mtu chake Maongezi yapo
JUMLA YA VIWANJA (27) VINAUZWA MWANZA - KISESA -mahali; kasaa zoo jirani na shule ya sekondari kilimanjaro -ukubwa ni 22x20 -umeme, barabara na maji vipo -bei Milioni 4 kwa kila kimoja -ruksa kununua kimoja au zaidi NB:- Malipo ni Cash au Awamu ☎️ 0743220097
» Michamvi Pingwe in South Unguja. » The plot is developed. » The plot is facing Indian Ocean and has accessible road & power. » Plot area is 194,253 sqm. » Over 100 meters beach strip. » Has clean title deed » Ideal for villa, resort, etc. » $ 8 million . #InRealEstateWeConnect #tanzania🇹🇿
KIWANJA KINA UZWA KIPO KEREGE KWA KIWETE KINA UKUBWA WA SQM 400 KIMEPIMWA NA KINA HATI MILIKI YA WIZARA KINA UZWA BEI YA KUTUPWA MILION 10 HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZIPO MITA CHACHE KUTOKA LAMI WAHI KIWE CHAKO 🏃♂️