Shamba linauzwa lenye ukubwa wa heka 20 lipo umbali wa kilometa 3 kutoka barabara kuu ya lami shamba lipo kiwangwa bagamoyo bei ni laki 8 kwa heka shamba ni zuri sana na lipo sehem nzuri kwa mawasiliano zaidi piga namba 0653870009.
Read more
Description
Shamba linauzwa lenye ukubwa wa heka 20 lipo umbali wa kilometa 3 kutoka barabara kuu ya lami shamba lipo kiwangwa bagamoyo bei ni laki 8 kwa heka shamba ni zuri sana na lipo sehem nzuri kwa mawasiliano zaidi piga namba 0653870009.
Hizi ni SQM 1280 zipo nyuma ya Sheli ya Iyumbu✅ Unaweza kuafanya uwekezaji wa kibiashara au makazi ya kuishi Iyumbu ipo....👇 >>Ni karibu na chuo kikuu cha UDOM.✅ >>Pia ni karibu kabisa na Hospitali ya Benjamini Mkapa.✅ >>KM 8 kufika mjini kati.✅ >>Huduma za kijamii zinapatikana 24/7.✅ >>Matumizi Makazi na Biashara Ukiwekeza hapa...
Nauza kiwanja changu kipo vikindu magodani karibu na dar es salaam zoo. Ukubwa ni 50 kwa 40 ni kikubwa Kipo barabarani mahitaji yote yanapatikana, Mill 2.8 No 0759324418
Kiwanja kipo kibanda kigamboni urefu meter 45 na upana meter 35 Kipo karibu na barabara ya lami Huduma zote zipo tayari Bei ni maelewano inapungua kipo sehemu nzuri maji hayajai
KIWANJA CHA KWANZA KUTOKA LAMI KINAUZWA -Mahali: buswelu center ( mbogamboga ) -ukubwa wa kiwanja sqm 630 -kina hati miliki ya wizara -matumizi ya kiwanja ni makazi na biashara -bei Tsh Milioni 65 -mazungumzo yapo ☎️ 0743 220097
KIWANJA CHA KWANZA KUTOKA LAMI KINAUZWA MABATINI -ukubwa wa eneo ni sqm 2,273 -eneo lina hati miliki ya wizara -matumizi ni makazi & biashara -bei Tsh Milioni 500 ☎️ 0743 220097
KIWANJA KIKO NDANI YA FENCE KINAUZWA MADALE MIVUMONI, KIKO UMBALI WA MITA 100 TOKA BARABARA YA LAMI AREA : SQMT 2400 PRICE : MIL 350 UMILIKI: MKATABA WA MAUZIANO CONT. CALL Whatsapp &sms +255715090904 kwenda whatsap moja kwa moja bonyeza>> https://wa.me/255715090904 Insta @excela_and_properties Kujiunga na group let la Whatsapp gusa hii link: https...
» Kiwanja kipo Kimara Korogwe kwa Mkuwa. Unaweza kuingilia Korogwe au Ubungo External. » Kipo kwenye barabara ya mtaa itakayowekwa lami pia ni karibu na barabara kuu ya zege. » Kiko flat. » Kinafaa kwa makazi binafsi au apartment za biashara. » Ukubwa sqm 1,750. » Nyaraka ni hati ya wizara. » Bei TSh milioni 80 . #InRealEstateWeConnect
TWO WEEKS OFFER TOWARDS CHRISTMAS & NEW YEAR CELEBRATIONS! 🎄✨ 🌿 Unlock Your Green Investment Opportunity in Arusha! 🌿 This modern Green House for Sale in the peaceful Engosheraton area (near Edmund Rice School) is the perfect opportunity for agribusiness investors ready to scale! 🌱🏡 🏠 KEY FEATURES: •500 SQM spacious plot •Strong & durable Poly House ...
KIWANJA KINAUZWA JIRANI NA OFISI ZA HALMASHAURI YA ILEMELA -ukubwa wa kiwanja ni sqm 1,201 -kina hati miliki ya wizara -matumizi ya kiwanja ni makazi na biashara -bei Milioni 90 -mazungumzo yapo -kiwanja kipo karibu kabisa na barabara ya lami ☎️ Wasiliana Nasi 0743 220097
ENEO ( BEACH PLOT ) INAUZWA NYANGUGE -ukubwa wa eneo ni heka nne (4) -eneo ni la kwanza kutoka ziwani -umeme, maji na barabara vipoo -bei Milioni 45 + Wasiliana Nasi ☎️ 0743220097
» Michamvi Pingwe in South Unguja. » The plot is developed. » The plot is facing Indian Ocean and has accessible road & power. » Plot area is 194,253 sqm. » Over 100 meters beach strip. » Has clean title deed » Ideal for villa, resort, etc. » $ 8 million . #InRealEstateWeConnect #tanzania🇹🇿