Hizi ni SQM 1280 zipo nyuma ya Sheli ya Iyumbu✅
Unaweza kuafanya uwekezaji wa kibiashara au makazi ya kuishi
Iyumbu ipo....👇
>>Ni karibu na chuo kikuu cha UDOM.✅
>>Pia ni karibu kabisa na Hospitali ya Benjamini Mkapa.✅
>>KM 8 kufika mjini kati.✅
>>Huduma za kijamii zinapatikana 24/7.✅
>>Matumizi Makazi na Biashara
Ukiwekeza hapa unapata uarahisi wa kuyafikia
maeneo mengine muhimu kama vile:👇
Standi kuu ya mabasi nanenane, Soko kuu la ndugai, Eneo la uwekezaji njegengwa, Kisisasa, Mahaka kuu ya Dodoma na Ofisi nyingi za umma kama hazina kambarage nk.
UTARATIBU WA KUTEMBELEA SITE:
🕣 Kila siku kuanzia saa 2:30 asubuhi
hadi saa 9:30 JIONI
🚌 Usafiri wa kwenda site zetu zote ni BURE kabisa!
⸻
WASILIANA NASI:
📞 0745 200 984
📞 0747 999 997
📍 Tembelea ofisi zetu: Dodoma Mjini, Mtaa wa Uhindini – Mkabala na Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi
Read more