Plot ipo kunduchi mtongani kina mawe ya kulasimisha serikali ya mtaa kina upana 35 urefu 30 kina mtaa mpana sana unaeza jenga apartiment za kupangisha eneo nzuri bei m65 l
Read more
Specs
Property Size Sq Ft1050
Description
Plot ipo kunduchi mtongani kina mawe ya kulasimisha serikali ya mtaa kina upana 35 urefu 30 kina mtaa mpana sana unaeza jenga apartiment za kupangisha eneo nzuri bei m65 l
KIWANJA KINAUZWA JIRANI NA OFISI ZA HALMASHAURI YA ILEMELA -ukubwa wa kiwanja ni sqm 1,201 -kina hati miliki ya wizara -matumizi ya kiwanja ni makazi na biashara -bei Milioni 90 -mazungumzo yapo -kiwanja kipo karibu kabisa na barabara ya lami ☎️ Wasiliana Nasi 0743 220097
KIWANJA KINAUZWA NYASHISHI -ukubwa wa kiwanja ni 20x20 -umeme, maji na barabara vipo -eneo limeshapimwa tayari -bei Tsh Milioni 2 ☎️ Wasiliana Nasi 0743 220097
Hizi ni SQM 1280 zipo nyuma ya Sheli ya Iyumbu✅ Unaweza kuafanya uwekezaji wa kibiashara au makazi ya kuishi Iyumbu ipo....👇 >>Ni karibu na chuo kikuu cha UDOM.✅ >>Pia ni karibu kabisa na Hospitali ya Benjamini Mkapa.✅ >>KM 8 kufika mjini kati.✅ >>Huduma za kijamii zinapatikana 24/7.✅ >>Matumizi Makazi na Biashara Ukiwekeza hapa...
Vinauzwa viwanja vilivyopimwa kuanzia sqm 400 hadi sqm 600 bei ni 6.5 milioni mpaka 9m ,viwanja vipo kelege Matumbi km 2 toka bagamoyo road piga 0754292666 kwa maelezo zaidi
» Tandika Sudan. » Pamechangamka, pazuri kwa miradi ya uwekezeji. » Kuna jengo ndani linaweza kutumika kama ghala/warehouse. » Miundombinu (maji, umeme mkubwa, barabara ya lami) yote ipo. » Ukubwa wa eneo sqm 4,000+ • Hati ya wizara • Bei TSh bilioni 2.7 . #InRealEstateWeConnect
Nauza kiwanja changu kipo vikindu magodani karibu na dar es salaam zoo. Ukubwa ni 50 kwa 40 ni kikubwa Kipo barabarani mahitaji yote yanapatikana, Mill 2.8 No 0759324418
Plot ipo mapinga km 3 toka barabara ya bagamoyo ina hati zote huduma zote zipo kama maji umeme na barabara nzuri kiwanja kina fence ya matofari ya cement na geti tayari hati kamili ipo kimepimwa na ardhi Wasiliana nasi maongezi yapo