» Tandika Sudan.
» Pamechangamka, pazuri kwa miradi ya uwekezeji.
» Kuna jengo ndani linaweza kutumika kama ghala/warehouse.
» Miundombinu (maji, umeme mkubwa, barabara ya lami) yote ipo.
» Ukubwa wa eneo sqm 4,000+
• Hati ya wizara
• Bei TSh bilioni 2.7
.
#InRealEstateWeConnect