🔔Nyuma ya Mahakama kuu katika mtaa ulio jengeka na kupangiliwa vizuri bila kusahau ni karibu sana na mjini kinauzwa kiwanja kizuri kwaajili ya makazi.💯
Karibu Mkalama Block - CC
______
SQM 590 kinauzwa Milioni 40💰
————
>>KM 1 Kufika Ilipo Mahakama Kuu.
>>KM 2 Kufika ulipo ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete.
>>KM 2 Kufika Chuo Kikuu (UDOM).
>>KM 3 Kufika Mjini Kati.
————
Faida za kuwekeza hapa:
✔️ Kujenga nyumba ya makazi kwa familia yako
✔️ Kujenga apartment za biashara/ Nyumba za wapangaji
✔️ Kufaidika na ongezeko la thamani ya Ardhi Jijini Dodoma
————
Utaratibu Wa Kutembelea Site:
🕣 Kila siku kuanzia saa 2:30 asubuhi hadi saa 9:30 JIONI
🚌 Usafiri wa kwenda site zetu zote ni BURE kabisa!
————
WASILIANA NASI:
📞0745 200 984
📞0747 999 997
📍 Tembelea ofisi zetu: Dodoma Mjini, Mtaa wa Uhindini – Mkabala na Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi.
Read more