Pangeni Agricultural Farmland for sale in Kirombero Zanzibar, ideal for commercial farming (415906.5 sqm). The land is ideal for farming and other projects such as establishment of a school, hotel etc, this area is about 4 minutes from the main road with electricity and water accessibility. Contact now for more information and arrangement of viewing.
Kiwanja kipo kibanda kigamboni urefu meter 45 na upana meter 35 Kipo karibu na barabara ya lami Huduma zote zipo tayari Bei ni maelewano inapungua kipo sehemu nzuri maji hayajai
» Tandika Sudan. » Pamechangamka, pazuri kwa miradi ya uwekezeji. » Kuna jengo ndani linaweza kutumika kama ghala/warehouse. » Miundombinu (maji, umeme mkubwa, barabara ya lami) yote ipo. » Ukubwa wa eneo sqm 4,000+ • Hati ya wizara • Bei TSh bilioni 2.7 . #InRealEstateWeConnect
KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA SALASALA MWANZO, KIMEGUSA LAMI YA SALASALA NA NI TAKRIBANI MITA 200 TOKA BAGAMOYO ROAD. KINAFAA SANA KWA MAKAZI, APARTMENTS, HOTEL, KUWEKA SHOPING CENTER, YARD. NK AREA : SQMT 2000 PRICE : MIL 600 UMILIKI: HATI HUDUMA ZOTE ZIPO... GHARAMA YA KUPELEKWA SITE NI SH ELF 50. HII HAIHUSISHI USAFIRI. CONT. CALL Whatsapp &sms +255715...
ENEO ( BEACH PLOT ) INAUZWA NYANGUGE -ukubwa wa eneo ni heka nne (4) -eneo ni la kwanza kutoka ziwani -umeme, maji na barabara vipoo -bei Milioni 45 + Wasiliana Nasi ☎️ 0743220097
Kiwanja kizuri sana kinauzwa: Ni kiwanja cha pili kutoka lami mpya ya mivumoni (madalae) na mtaa wa mzuri sana Ukubwa-sqm 1225 Umiliki- Hati miliki Bei-ml 185 maongezi yapo Location- madale mivumoni Umbali-mita 50 kutoka lami na ni plot ya 2 MAWASILIANO: +255713972615/ |+255621036800
Land for sale, Mashamba yanauzwa zaidi ya ekari 2000. Yanauzwa kunzia ekari 500 Yanapatikana Njombe Mfiriga. Yanafaa kwa kulimo cha parachichi, Nanasi, miti, maharage, mahindi na mazao mengine pia pori zuri kwa ufugaji nyuki.
KIWANJA KINAUZWA NERA -kiwanja cha kwanza lami ( airport road ) -mahali; karibu na ofisi za bank kuu (BOT) -ukubwa wa kiwanja ni sqm 810 -kina hati miliki ya wizara ( 99 years ) -matumizi; makazi na biashara ☎️ 0743 220097
🔔Nyuma ya Mahakama kuu katika mtaa ulio jengeka na kupangiliwa vizuri bila kusahau ni karibu sana na mjini kinauzwa kiwanja kizuri kwaajili ya makazi.💯 Karibu Mkalama Block - CC ______ SQM 590 kinauzwa Milioni 40💰 ———— >>KM 1 Kufika Ilipo Mahakama Kuu. >>KM 2 Kufika ulipo ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete. >>KM 2 Kufika Chuo Kikuu (UDOM)...