KIWANJA KINAUZWA BUHONGWA -kipo mtaa wa Musabe -ukubwa wa kiwanja ni 35x18 -kina hati miliki ya wizara -bei Milioni 22 -maongezi yapo -matumizi ya kiwanja ni makazi -kiwanja kipo mtaa mzuri sana ☎️ Wasiliana Nasi 0743 220097
Kiwanja kizuri sana kinauzwa: Ni kiwanja cha pili kutoka lami mpya ya mivumoni (madalae) na mtaa wa mzuri sana Ukubwa-sqm 1225 Umiliki- Hati miliki Bei-ml 185 maongezi yapo Location- madale mivumoni Umbali-mita 50 kutoka lami na ni plot ya 2 MAWASILIANO: +255713972615/ |+255621036800
KIWANJA KINAUZWA BUSWELU WILAYANI -ukubwa wa kiwanja ni sqm 790 -kiwanja kimeshapimwa tayari -matumizi ni makazi na biashara -kipo karibu na barabara ya lami -bei Tsh Milioni 35 ☎️ 0743 220097
KIWANJA KINAUZWA NYASHISHI -ukubwa wa kiwanja ni 20x20 -umeme, maji na barabara vipo -eneo limeshapimwa tayari -bei Tsh Milioni 2 ☎️ Wasiliana Nasi 0743 220097
» Kiwanja kipo Kimara Korogwe kwa Mkuwa. Unaweza kuingilia Korogwe au Ubungo External. » Kipo kwenye barabara ya mtaa itakayowekwa lami pia ni karibu na barabara kuu ya zege. » Kiko flat. » Kinafaa kwa makazi binafsi au apartment za biashara. » Ukubwa sqm 1,750. » Nyaraka ni hati ya wizara. » Bei TSh milioni 80 . #InRealEstateWeConnect
KIWANJA KINAUZWA BUSWELU WILAYANI ( ROUND ABOUT YA CITY LINK ) -ukubwa wa kiwanja ni sqm 2,054 -vipo viwanja viwili vimeungana -kina hati miliki ya wizara -matumizi ya kiwanja ni makazi na biashara -kiwanja cha 3 kutoka barabara ya lami -kiwanja kipo mtaa mzuri ulojengeka sana ☎️ Wasiliana Nasi 0743 220097
Plot for sale regent estate sq meter 1811 the plot is full owner ship clean Title deed the plot is good for residential apartment or villas stand alone house price usd 900,000 call wasap 0714592413 0625503976
KIWANJA CHA KWANZA KUTOKA LAMI KINAUZWA -Mahali: buswelu center ( mbogamboga ) -ukubwa wa kiwanja sqm 630 -kina hati miliki ya wizara -matumizi ya kiwanja ni makazi na biashara -bei Tsh Milioni 65 -mazungumzo yapo ☎️ 0743 220097