» Kiwanja kipo Kimara Korogwe kwa Mkuwa. Unaweza kuingilia Korogwe au Ubungo External. » Kipo kwenye barabara ya mtaa itakayowekwa lami pia ni karibu na barabara kuu ya zege. » Kiko flat. » Kinafaa kwa makazi binafsi au apartment za biashara. » Ukubwa sqm 1,750. » Nyaraka ni hati ya wizara. » Bei TSh milioni 80 . #InRealEstateWeConnect
KIWANJA KINAUZWA MADALE MBOPO, KIMESHALIPIWA DDC, KIKO UMBALI WA KILOMITA 1 TOKA BARABARA YA MADALE MBOPO AREA : SQMT 850 PRICE : MIL 40 UMILIKI: HATI HUDUMA ZOTE ZIPO... GHARAMA YA KUPELEKWA SITE NI SH ELF 30. HII HAIHUSISHI USAFIRI. CONT. CALL Whatsapp &sms +255715090904 kwenda whatsap moja kwa moja bonyeza>> https://wa.me/255715090904 Insta @exc...
KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA SALASALA MWANZO, KIMEGUSA LAMI YA SALASALA NA NI TAKRIBANI MITA 200 TOKA BAGAMOYO ROAD. KINAFAA SANA KWA MAKAZI, APARTMENTS, HOTEL, KUWEKA SHOPING CENTER, YARD. NK AREA : SQMT 2000 PRICE : MIL 600 UMILIKI: HATI HUDUMA ZOTE ZIPO... GHARAMA YA KUPELEKWA SITE NI SH ELF 50. HII HAIHUSISHI USAFIRI. CONT. CALL Whatsapp &sms +255715...
Ninauza kiwanja changu Kibaha Visiga-Madafu Ukubwa Square meter 400 Umbali kutoka barabara kuu km 3.5 Usafiri pikipiki 1500 panafikika kwa aina zote za usafiri Umeme wa TANESCO na Maji ya DAWASA pamoja na huduma nyingine za kijamii zinapatikana. Kiwanja kipo sehemu Tambarale na nzuri Bei ni milioni 8.5 |Maelewano yapo kidogo Piga 0745666061 |Mimi ndio Mmilik...
Plot ipo mapinga km 3 toka barabara ya bagamoyo ina hati zote huduma zote zipo kama maji umeme na barabara nzuri kiwanja kina fence ya matofari ya cement na geti tayari hati kamili ipo kimepimwa na ardhi Wasiliana nasi maongezi yapo
Hizi ni SQM 1280 zipo nyuma ya Sheli ya Iyumbu✅ Unaweza kuafanya uwekezaji wa kibiashara au makazi ya kuishi Iyumbu ipo....👇 >>Ni karibu na chuo kikuu cha UDOM.✅ >>Pia ni karibu kabisa na Hospitali ya Benjamini Mkapa.✅ >>KM 8 kufika mjini kati.✅ >>Huduma za kijamii zinapatikana 24/7.✅ >>Matumizi Makazi na Biashara Ukiwekeza hapa...
KIWANJA CHA KWANZA KUTOKA LAMI KINAUZWA MABATINI -ukubwa wa eneo ni sqm 2,273 -eneo lina hati miliki ya wizara -matumizi ni makazi & biashara -bei Tsh Milioni 500 ☎️ 0743 220097
Kiwanja kizuri sana kinauzwa: Ni kiwanja cha pili kutoka lami mpya ya mivumoni (madalae) na mtaa wa mzuri sana Ukubwa-sqm 1225 Umiliki- Hati miliki Bei-ml 185 maongezi yapo Location- madale mivumoni Umbali-mita 50 kutoka lami na ni plot ya 2 MAWASILIANO: +255713972615/ |+255621036800
KIWANJA KINAUZWA NERA -kiwanja cha kwanza lami ( airport road ) -mahali; karibu na ofisi za bank kuu (BOT) -ukubwa wa kiwanja ni sqm 810 -kina hati miliki ya wizara ( 99 years ) -matumizi; makazi na biashara ☎️ 0743 220097